Klabu Bingwa Afrika: Simba SC ya Tanzania yashinda 1-0 dhidi ya Al Ahly ya Misri katika Uwanja wa Benjamin Mkapa - Dar

Kwa kweli Simba wamecheza mpira fresh na walikuwa na advantage ya kuwachezesha Al Ahli kwenye jua wangewapiga hata bao nne, lakini siyo kitu muhimu point 3. Siku watakayocheza na Yanga huwa wanapoteana, sijui kwa nini?
Kwa sababu yanga yupo juu sio level yenu
 
Nyie simba hamna lolote lakujisifia. Nyie mmempiga al ahly kwa Nkapa 1 bila na sisi tumempiga Mtibwa sugar kwa Nkapa 1 bila. Sasa hapo si ngoma durooo
 
Kwa kweli Simba wamecheza mpira fresh na walikuwa na advantage ya kuwachezesha Al Ahli kwenye jua wangewapiga hata bao nne, lakini siyo kitu muhimu point 3. Siku watakayocheza na Yanga huwa wanapoteana, sijui kwa nini?
Kwa sababu yanga ni mume wa simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…