Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba ni kama ndanda tuKwani Simba unaiweka level gani hadi useme hastahili kuchezea simba? au mpaka tumfunge Bayern ndio mtatuheshimu
Hahahahaa kumbe kilkua na pusii uwanjaniFuatilia Vizuri..utajua. nyau mlizoingiza uwanjani...
Kwa kweli Simba wamecheza mpira fresh na walikuwa na advantage ya kuwachezesha Al Ahli kwenye jua wangewapiga hata bao nne, lakini siyo kitu muhimu point 3. Siku watakayocheza na Yanga huwa wanapoteana, sijui kwa nini?Utopolo wakiona hii, roho zinawauma balaa, wanapita kimya kimya huku wakisonya.
Bora Ihefu je wale wa yellow?siamini kama simba hii ndio ya kucheza na akina ihefu fc...
Kwa sababu yanga yupo juu sio level yenuKwa kweli Simba wamecheza mpira fresh na walikuwa na advantage ya kuwachezesha Al Ahli kwenye jua wangewapiga hata bao nne, lakini siyo kitu muhimu point 3. Siku watakayocheza na Yanga huwa wanapoteana, sijui kwa nini?
Mimi siyo Simba, ila nimewapongeza tu.Kwa sababu yanga yupo juu sio level yenu
Uchawi huo kwioo. Lile goli hujaliona lilivofungwa!?Tulieni mikia uchawi huwa hauvuki bahari mtaenda tu kwao waarabu msije kula mkono tena?
Kwa sababu yanga ni mume wa simbaKwa kweli Simba wamecheza mpira fresh na walikuwa na advantage ya kuwachezesha Al Ahli kwenye jua wangewapiga hata bao nne, lakini siyo kitu muhimu point 3. Siku watakayocheza na Yanga huwa wanapoteana, sijui kwa nini?
Karibu Simba mkuuMimi siyo Simba, ila nimewapongeza tu.
😆 😆 😆 😆 😆Ukiona kijana anashabikia yanga ujue ni mganga
Ndio ukome kuvisikiliza vinyago vya mpapurePumbvu , naomba hela yangu nilibeti kama ulivyosema nimeliwa , mshenzih wewe nipe hela yangu
Mkuu ina maana jamaa wangekaa vibaya mngewalaWamekula mkongo
ungejaribu uone unavyo lala njaa na kui cost familia nzima kwa ujinga wakoNiwadokeze kidogo,weka 500,000 ubeti al ahly anashinda,,jioni ukunje milioni na ushee