marcoveratti
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 1,019
- 1,824
Haw jamaa washajua wakiposti vitu about simba wanapata interaction kubwa sanaaKutoka katika ukurasa rasmi wa CAF huko twitterView attachment 1710263
Waarabu kitu gani kwani?
Wasenegal wanjipigiaga tu
Zile 4 aribal umezisahauniteseke na nini mkuu sema napata hasira timu mbovu inapo jinasibu kupita maelezo
unakumbuka march 8 lakini
Kifupi ni ligi ya timu tatu, Simba, Al Ahly na Bayern. So imebaki mechi moja Kati yetu na Bayern.Africa tumemaliza tunataka Man City sasa
Ngoja NAMUNGO waingie makundi mlingane nao historia kwenye shirikisho.Hahaha aliyeniloga ni anayeleta mapaka uwanjani
Binadamu kamuuma mbwa basi anajitapa kweli
Huna uwezo wa kuuchukua ubingwa labda kwa msaada wa hussein athuman na wenzio kina sasi
Huu uzi ni endelevu.. wajukuu wetu wataukutagaKwa hiyo wazee ndo tumeamua uzi uishie hapa? Tuendelee aisee
Asipokuelewa hapo atakua hajui Mpira. Mmalizie kabisa a maintain social distance.Al Ahly ndiye bingwa wa kihistoria kwa ngazi ya Vilabu Afrika.
Misri ndiye Bingwa wa kihistoria kwa ngazi ya Nchi kwa Afrika.
Nawa mikono kwa maji tiririka na sabuni, vaa Barakoa, jikinge na korona! Utakufa buree.
jifunze kubalance shobo,utakuja kufa bila sababu ya msingiMkuu wachezaji haya maneno yanawatoka baada ya mechi, kabla ya mechi uzi huu ulikimbiwa hadi na waliouanzisha (nenda peji ya kwanza.) hata ww ulijificha ukijua huna lolote la maana mbele ya wababe wa Afrika.
Nenda hata betting company simba hakupewa nafasi ya kushinda hata droo haikutazamiwa yaani kifupi 95% tulikuwa tunasubiri goli 3 na kuendelea
Kilichotokea ni maiti kuchana sanda
Mmeotea
Unaniambia watu waliukimbianuzi niende page ya kwanza nikajionee wakati page ya kwanza comment ya tatu ni yangu?
Ungesoma hiyo comment yangu ya tatu kwenye uzi huu usingerudia kosa ambalo nilikua namkanya jamaa pale
Eti nenda betting compay
Hao wote si wanajihusisha na bahati na sibu mzee?
Sasa utategemea kupata taarifa za uhakika kama chanzo chako unakitoa kwenye websites za bahati na sibu?
Siwezi kuwa na shobo timu yenye kuamini katika ulozijifunze kubalance shobo,utakuja kufa bila sababu ya msingi
Kwa mbinde sana unakumbuka march 8, vp mapinduzi cup sema iliotea kuchomoa ile majuzi baada ya babu kupigizwa kichwa kwenye mchanga na fundi T.KHata wewe tunaweza kuotea tukakugonga
Wamebahatisha
historia inasema wananchi ndio club ya kwanza kufika robo fainala ligi ya mabingwa afrikaNgoja NAMUNGO waingie makundi mlingane nao historia kwenye shirikisho.
Huku klabu bingwa ni SIMBA tu ndio anapaweza
Kwa mbinde sana unakumbuka march 8, vp mapinduzi cup sema iliotea kuchomoa ile majuzi baada ya babu kupigizwa kichwa kwenye mchanga na fundi T.K
Hongera SanaHata wewe tunaweza kuotea tukakugonga
Jamaa lazima ajinyonge
mafanikio gani mkuu, kuifunga al ahly ndo mafanikio
mafanikio gani mkuu, kuifunga al ahly ndo mafanikio