Klabu Bingwa Afrika: Simba SC ya Tanzania yashinda 1-0 dhidi ya Al Ahly ya Misri katika Uwanja wa Benjamin Mkapa - Dar

Klabu Bingwa Afrika: Simba SC ya Tanzania yashinda 1-0 dhidi ya Al Ahly ya Misri katika Uwanja wa Benjamin Mkapa - Dar

Kutoka katika ukurasa rasmi wa CAF huko twitterView attachment 1710263
Haw jamaa washajua wakiposti vitu about simba wanapata interaction kubwa sanaa

Kaangalie idadi ya comen sahres and likes wanazo pata wakiposti vitu tofauti na wakiposti about simba sasa hivi wemamua kua fan kabisa ..[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu wachezaji haya maneno yanawatoka baada ya mechi, kabla ya mechi uzi huu ulikimbiwa hadi na waliouanzisha (nenda peji ya kwanza.) hata ww ulijificha ukijua huna lolote la maana mbele ya wababe wa Afrika.

Nenda hata betting company simba hakupewa nafasi ya kushinda hata droo haikutazamiwa yaani kifupi 95% tulikuwa tunasubiri goli 3 na kuendelea

Kilichotokea ni maiti kuchana sanda
jifunze kubalance shobo,utakuja kufa bila sababu ya msingi
 
Unaniambia watu waliukimbianuzi niende page ya kwanza nikajionee wakati page ya kwanza comment ya tatu ni yangu?

Ungesoma hiyo comment yangu ya tatu kwenye uzi huu usingerudia kosa ambalo nilikua namkanya jamaa pale

Eti nenda betting compay

Hao wote si wanajihusisha na bahati na sibu mzee?

Sasa utategemea kupata taarifa za uhakika kama chanzo chako unakitoa kwenye websites za bahati na sibu?

jifunze kubalance shobo,utakuja kufa bila sababu ya msingi
Siwezi kuwa na shobo timu yenye kuamini katika ulozi
 
Wamebahatisha

Na mwaka huu huo Mwiko muliopachikwa Nyuma tutauchomoa

IMG_20210223_204658.jpg
 
Ngoja NAMUNGO waingie makundi mlingane nao historia kwenye shirikisho.

Huku klabu bingwa ni SIMBA tu ndio anapaweza
historia inasema wananchi ndio club ya kwanza kufika robo fainala ligi ya mabingwa afrika

historia inasema wananchi ndo club ya kwanza kuingia makundi club bingwa afrika
Historia inasema kwa soka safi la wananchi ilibidi hadi irushwe shilingi yanga vs asante kotoko ili kumpata mshindi wa kuendele nusu fainal.

kama paka fc tu hawezi fikia rekodi hizo itakuwa Namungo mkuu acha utani.
 
Back
Top Bottom