Klabu Bingwa Afrika: Simba SC ya Tanzania yashinda 1-0 dhidi ya Al Ahly ya Misri katika Uwanja wa Benjamin Mkapa - Dar

Nyau anatumia nguvu nyingi akili ndogo
 
hii game haina online streaming

 
Kumbe mpo mnafuatilia, nilidhani mpo kwenye mazoezi ya timu yenu mnafuatilia kiwango cha Fiston 😂😂😂
Unakuwa msahaulifu sana katafute uzi wa yanga vs mtibwa, muanzishaji na wachangiaji walikuwa kina nani mbona hawakuwa mazoezini kujiandaa kwa kipigo cha leo
 
Jamaa wanacheza bwana mpira unapita kwenye njia hadi unafurahi nyau wakiushika ni aibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…