Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
NDIO MAANA AKALETWA REFA MWENYE AKILI ZAKErefa ndo kamficha huoni faulo za kipumbavu za babu ila refa anakauka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NDIO MAANA AKALETWA REFA MWENYE AKILI ZAKErefa ndo kamficha huoni faulo za kipumbavu za babu ila refa anakauka
Thubutu!Angalia isije pinduliwa
Simba 1 Al Utopolo 5
Kuna marefa wametwangwa jana, vipi wasemaje kuhusu akili zaoNDIO MAANA AKALETWA REFA MWENYE AKILI ZAKE
Yeah sio wazo baya..Morrison ana amshaamsha sana..namuona ana trot..Amtoe Dilunga ampachike Morrison amiliki mpira.
Sevvila alicheza na nyau mashindano ganithubutu!
sevilla mwenyewe alishindwa sembuse hawa maostaz
Ni raia wa Wapi!!?
Sisi tunapata shida gani sasa [emoji1787][emoji1787]si sana kama mpatayo nyie
Utakuwa umeanza kuangalia mpira juziAna hadhi ya kucheza Uefa Champions League
NaaamHakuna wa kuifunga Simba kwa Mkapa,hata ziungane timu zote duniani
kutulazimisha sisi wanachi kuamini katika pakaSisi tunapata shida gani sasa [emoji1787][emoji1787]
Jirani ndo nini!??Ni jiran lakin anaweza kupata support kutoka kwetu..
We ni mtopolo mzuri sana, yaani kile kipigo kitakatifu cha 4-1 umeamua iwe avatar yako 😆 😆 😆 😆utakuwa umeanza kuangalia mpira juzi
Lile goli moja la March 8 ilikuwa wapi nikumbusheHakuna wa kuifunga Simba kwa Mkapa,hata ziungane timu zote duniani
Ni mtoto wa Mozambique..lakini anaupiga kama mbrazilJirani ndo nini!??
Avata yangu kati ya watu wa 4 basi mmoja ni chizi (shabiki wa nyau)We ni mtopolo mzuri sana, yaani kile kipigo kitakatifu cha 4-1 umeamua iwe avatar yako 😆 😆 😆 😆