Kaka madenge
JF-Expert Member
- Jan 16, 2021
- 312
- 574
Nilikuwa nimekaa na mke wangu tunacheki mechi ya simba kaninunia week nzima
Ila miqueson alipofunga goli akafurahi akanikumbatia kwa nguvu tukaja kurudi mwishoni
Nakushukuru miqueson kwa kuniombea msamaha