Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo linaitwa tama la duniaHii inaitwaje ndugu zangu
Wewe shabiki wa Yanga huna hadhi ya kuzungumza na mimi. Labda ulipie, hata ukilipia lazima awepo mwanasheria wangu. pumbaaabulile goli moja la march 8 ilikuwa wapi nikumbushe
Wewe sio mzima, De bruyne na Salah walionekana hawafai ChelseaSimba ni kama ndanda tu
Anastahili kucheza hapo na kina mtibwa
Ndo maana pitso alimtema huko mamelodi that time
Asee..!!,nimeponea chupuchupu..ungejaribu uone unavyo lala njaa na kui cost familia nzima kwa ujinga wako
Uto wanapita kimyaKutoka katika ukurasa rasmi wa CAF huko twitterView attachment 1710263
Clab ndio nini mkuu?Simba ni clab ya kawaida kama clab zingine tu ila Luis Jose miqquison kiwango chake na uwezo wake si wakuchezea clab ya Simba
Watasema page manager ni mwana simbaKutoka katika ukurasa rasmi wa CAF huko twitterView attachment 1710263
GSMPigeni kelele tu... Ila mjue MO mfanya biashara. Na Hamna faida yeyote kwa Taifa.
Senzo alishindwa hata kutuletea kocha boraSimba 1-Al Ahly 5
Senzo Mbatha 120’
Pumbavu😬
Manyani yamebung'aaHii inaitwaje ndugu zangu
Mkuu nipo leo, binadamu kamuuma mbwa ni stori ya kutishaToka mafichoni njoo huku, ulikuwa unapost kila baada ya dakika mbili, njoo sasa mpumbavu
We jamaa si bure aliyekuroga amekufamkuu nipo leo binadamu kamuuma mbwa ni stori ya kutisha
Mkuu mbona unateseka Sana leomkuu nipo leo binadamu kamuuma mbwa ni stori ya kutisha
Huna cha kutisha hadi watu wakimbie timu ya kawaida sanaNilisema awali baada ya gemu watu watakimbia kama ambavyo walikimbia kwenye mechi ya As vita
Hiyo ni timu ya wapi?Ww ni sungura!
Mchawi mtu paka anatumwa tuHii inaitwaje ndugu zangu
Niteseke na nini mkuu sema napata hasira timu mbovu inapojinasibu kupita maelezoMkuu mbona unateseka Sana leo