Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16][emoji16][emoji16]umegeuka kilo 800Simba ni timu ya Gabon?
Matokeo ya coast yanawasumbua sanaUsiku wa deni haukawii kukucha.
El Merreikh Vs Simba
Leo ndio kipimo cha kwanza kigumu, simba leo atafungwa 2-0 na hatopata goli hata la offside.
Simba akipata goli ntakojoa kuanzia hapa Ununio mpaka Chamwino Dodoma.
Leo ndio ile siku ukuta wa simba utaabishwa kama alivyosema mchambuzi nguli wa michezo Jeff Lea
El Merreikh tunawategemea sana
Kufungwa kwa Simba hakuondoi ukweli wa ubovu wa kiwango cha Yanga 😁😁😁Mimi nitafarijika mkifungwa ili kuwepo na utulivu hii wikiendi. Mkiahinda mtachonga sana! Na pia hatuta kunywa maji.
Polisi Tanzania tunawategemea sanaEl Merreikh tunawategemea sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Maskini..nawe ni baba mwenye Family!?
Kwani Simba SC ndio wameshikilia mdomo wako ?!Mimi nitafarijika mkifungwa ili kuwepo na utulivu hii wikiendi. Mkiahinda mtachonga sana! Na pia hatuta kunywa maji.
Duu nipo na imagine hii paskali ikivaa kimini sket inakuwaje 😁😁😁Mlianza kua AS Vita mlivyopigwa, mkahamia Al ahly tukawalamba na sasa mmekuja El Merrekh nasema MTAPIGWA TU MPAKA MCHAKAE UTOPOLO.View attachment 1718555
Weka namba hapa namba ya wakala upate bakshishi yako chap.Usiku wa deni haukawii kukucha.
El Merreikh Vs Simba...
Jiandae kunywa boha tu maana mwarabu Koko tunamkalisha mapema tuMimi nitafarijika mkifungwa ili kuwepo na utulivu hii wikiendi. Mkiahinda mtachonga sana! Na pia hatuta kunywa maji.