Klabu bingwa Afrika: Simba ugenini kuchuana na Al Merrekh

Matokeo ya coast yanawasumbua sana
 
Haya ma mikia ni mazeee ya fitina kweli kwelii, usishangae yanapata penati4 huko huko ugenini, lile jangili lao linalo tembea na mkoba wa ma minoti na madolali siyo Jitu zuri hata kidogo, kumbe afadhari jiwee alilifurusha kutoka NSSF
 
Kukojoa mpaka makao makuu ya nchi ni jambo gumu.Ila kinachowezekana ni kwenda kukojoa kwenye geti la kuingilia magogoni
 
Kulikuwa hamna haja ya kutoa ahadi isiyowezekanika kutekelezeka, ukisema 'Simba leo anafungwa 2-0 ingetosha'
tusubiri dk 90 uje hapa kureply comment zetu, usije ukakimbia lakini
 
Nlikuwa naongea na wenzangu kwenye Group wanasema wanaombea sana Simba afungwe huko Sudan. Nlisema ni jambo jema ikiwa hizo points tutakuja pewa sisi. Otherwise hatupaswi kuwa wapumbavu kiasi hiki.

Simba wana points 6 wakifungwa Ugenini bado wana nafasi ya mechi mbili hapa taifa. Na Al Merreikh na pia AS Vita. So bado hakuna ambacho kitatupa sana ahueni. Nadhani tuachane na roho za kichawi. Tuwa support wenzetu. Wivu,Chuki na Hasira havitusaidii.

Tungeachana na Simba turudi kwenye team yetu. Tuka isupport na kuitia moyo bado tuna matches nyingi za ligi. Ila tunapoteza muda mwingi ku deal na Simba na kuisahau team yetu. Why? Tuijenge team kwa maoni positive na kukosoa.
 
Ushindi wowote utakaotokea ni simba kuwa mbele kwa goli moja, either mbili moja au moja bila
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…