Klabu Bingwa Afrika, Uwanja wa Taifa-Dar: Simba SC yairarua JS Saoura bila huruma goli 3-0

Kwakweli jipongezeni maana hapa wapambe tumekuwa wapole ingekuwa viceversa mngekoma leo.[emoji23]


Sent from my iPhone using JamiiForums
Sijui nyuso zetu tungezificha wapi

Wachezaji wametuondolea aibu huku mtaani, tunatembea vifua mbele
 
once a mkia always a mkia,hawa Saura wangekutana na mashujaa wangepigwa kumi
 
Achana nae ndezi huyo 🤣🤣🤣
Sijui mapovu ya nini wakati sisi tulikuwa wapambe wa Waarabu. I


Sent from my iPhone using JamiiForums
Hahaaa. Ndio nashangaa ujue. Sababu yawapasa washangilie saa hizi na si kutoka povu.

Itakuwa hawajui maana ya Utani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…