Klabu Bingwa Afrika, Uwanja wa Taifa-Dar: Simba SC yairarua JS Saoura bila huruma goli 3-0

Inasikitisha kweli

Na test mitambo
Mwenzenu nilianza kunawiri kidogo maana mi nimwemba. sasa wananirudisha tena Misri yani ni taabu. kuna shemeji yenu moja alinitesa sana nilimvumilia miaka 9 lkn mwisho wa siku nikakaa chini nikaona ntakufa bure kwa presha nikampiga chini. lakini kwa hii timu nashindwa hata kwenda kwa mkopo sehemu, yaani kama nimechanjiwa nalo. linanitesa kwa kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera Simba, Hongera Watanzania. Ni mimi shabiki wa Yanga
 
Wanataka tue Kama wasomali. ...... Arsenal inakadawa sijui .....mech ijayo utasikia tumeshnda,,,,,mara inayofuata kipigo ,,,apa ndo nakondaga mimi

Na test mitambo
 
...very true and my prediction if we don’t put our act together that will happen before February. SAD!
Tunaweza kosa hata Europa .... ninaanza kuwa na wasiwas.[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Na test mitambo
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…