Therapist 2015
JF-Expert Member
- Aug 4, 2018
- 791
- 831
Hii komenti naitunza...Kabisa Mkuu. Najua Azam tunachukua mara ya tatu. Teh teh. [emoji85][emoji85]
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii komenti naitunza...Kabisa Mkuu. Najua Azam tunachukua mara ya tatu. Teh teh. [emoji85][emoji85]
Hahahaa. Na nitaiandika kwenye uzi kama utaanzishwa.
Lakin ni mchezaj Bora mkuuHuyo aondoke tu, anacheza mechi moja vizuri tena dhidi ya timu ndogo kisha anapotea mechi kumi.
Lakini komenti ya leo naitunza, maana huchelewi kuedit!!Hahahaa. Na nitaiandika kwenye uzi kama utaanzishwa.
Hamna kitu. Hana mchango kwa arsenal.Lakin ni mchezaj Bora mkuu
Na test mitambo
Ndugu Frank Wanjiru hahahahahaha
Haya Mkuu. Tuombe uzima Insha Allah.
Inasikitisha kweliKweli kabisa, hakuna hamasa kabisa morali hukuna. wanacheza kama wanatimiza wajibu tu.wenzetu Man u sasa hii wanacheza kwa moyo sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha Kufukua makaburi Mkuu. 🤣🤣🤣Ndugu Frank Wanjiru hahahahahaha
ngoja nicheke kifedhuri
Hahahahahaahaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna kitu. Hana mchango kwa arsenal.
Umbea sasa huu ukianza letaa habari za arsenal hapa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Arsenal kafungwa.
Simba kashinda.
Kesho Man Utd akishinda, Weekend murua kabisaaa.
Sababu najua ukizidi kwenda mbele na langu utakutana nalo. 🤣🤣🤣🤣
Mwenzenu nilianza kunawiri kidogo maana mi nimwemba. sasa wananirudisha tena Misri yani ni taabu. kuna shemeji yenu moja alinitesa sana nilimvumilia miaka 9 lkn mwisho wa siku nikakaa chini nikaona ntakufa bure kwa presha nikampiga chini. lakini kwa hii timu nashindwa hata kwenda kwa mkopo sehemu, yaani kama nimechanjiwa nalo. linanitesa kwa kweli.Inasikitisha kweli
Na test mitambo
Tunaweza muachia United nafas yetu Kama tutaendelea kusuasua hiv
Na test mitambo
Wanataka tue Kama wasomali. ...... Arsenal inakadawa sijui .....mech ijayo utasikia tumeshnda,,,,,mara inayofuata kipigo ,,,apa ndo nakondaga mimiMwenzenu nilianza kunawiri kidogo maana mi nimwemba. sasa wananirudisha tena Misri yani ni taabu. kuna shemeji yenu moja alinitesa sana nilimvumilia miaka 9 lkn mwisho wa siku nikakaa chini nikaona ntakufa bure kwa presha nikampiga chini. lakini kwa hii timu nashindwa hata kwenda kwa mkopo sehemu, yaani kama nimechanjiwa nalo. linanitesa kwa kweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunaweza kosa hata Europa .... ninaanza kuwa na wasiwas.[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]...very true and my prediction if we don’t put our act together that will happen before February. SAD!