Klabu Bingwa Afrika, Uwanja wa Taifa-Dar: Simba SC yairarua JS Saoura bila huruma goli 3-0

HII ndio Simba hata tupangiwe mechi kumi mfululizo tutacheza kwani tuna kikosi kipana na kesho tunacheza fainali ya mapinduzi wale wachambuzi uchwara wakina shafii daudi waliokuwa wanasema simba ndio timu dhaifu sijui wamejifungia wapi
 
Umerudi JF Nifah wa "The Bold"
 
HII ndio Simba hata tupangiwe mechi kumi mfululizo tutacheza kwani tuna kikosi kipana na kesho tunacheza fainali ya mapinduzi wale wachambuzi uchwara wakina shafii daudi waliokuwa wanasema simba ndio timu dhaifu sijui wamejifungia wapi

Kikosi kipana wakati Kesho unasafirisha kikosi kirudi zake Zenji kucheza Fainali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahah wewe kumbe ni mwanachama wa Ndala Fc
haha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…