Upo Bint YangaMashabiki wenzangu wa JS Saoura mko wapi? Mambo yameiva huku... naona jamaa wameamua kututeka Yanga kabisa, sio kwa jezi hizi jamani hahaaaaa.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kama ulikuwepo vileeeKosa la hawa waarabu ni kuvaa jezi za yanga watafungwa hadi watakoma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamkutegemea. Dah.
Kwani kuzomea=magoli?Sema mliokuwa Dar kwa Sasa wanatuangusha Hawa tulitakiwa tuanze kuwazomea pindi wanashuka tuu uwanja wa ndege na kuonyesha tunawachinja na wakikutana na jezi za Simba tuu...Kama wao wanavyotufanyiaga tukienda kwao ila sisi tunawapokea Kama Bibi harusi vile
Sent using Jamii Forums mobile app
Mlipokuwa mkijikusanya Taifa hamkujua hayo yote[emoji3][emoji3]
Kwa mpira gani ambao Kongole wamecheza leo?
Wanatofauti gani na Mbabane hao? Ndio maana nasema as vita na al ahly wanabeba alama zote 6 kwa huyu js soura.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmekutana na vibonde tu! Hamuendi popote. Mgoja mkutane na wanaume wa shoka tuone!
Kwa hiyo Vyura FC tuliowaburuza takribani miaka mi5 sasa nao ni wanamke au mama ntilie?Mmekutana na vibonde tu! Hamuendi popote. Mgoja mkutane na wanaume wa shoka tuone!
Hahaha maneno ya mtesekaji mwarabu wa jangwani a. k. a chura churani aisee pole sana kwa mateso ya siku ya leo maisha ndivyo yalivyoNyie mumecheza Na wahindi hakuna mwarabu hapo ngoja sasa waarabu ndio wanakuja sasa
Wewe mwarabu wa bwawani kwa nini uteseke?Mikia wamewafunga wahindi wanajisifu hao ngoja waarabu origino waje halafu tuone
Haya maneno tungeyasikia tokea mwanzo sawa
Hii ndio mechi rahisi kati ya mechi 6 utakazocheza kwenye group D.
Ni haki kushinda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulimsikia mchambuzi mwenzako Shafii D
Kwa mpira ule JS Soura ninkibonde wa kundi D.
Kama umepigwa na simba tena bao 3 sidhani kama As Vita na Al Ahly wataacha kubeba alama zote 6 kila mmoja kwa huyu jamaa.
Afadhali Nkana anacheza vyema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Vyura wamezamaKwani kuna khabari gani huko bwawani ?
Kapaniki huyo! Kwani hizo kalamu za waandishi ndio zilicheza uwanjani?Kocha wa JS Saoura ya Algeria awatolea povu waandishi wa michezo wa Bongo kwa Kuandika ndivyo sivyo. Aliyasema hayo baada ya kichapo cha mabao 3 toka kwa Simba SC ya Tanzania leo jioni
Kocha huyo wa JS Saoura amedai Simba imebebwa sana na maamuzi mabovu ya refarii na magazeti ya Tanzania jana kuandika habari zisizo sahihi kimechezo.
Kocha huyo wa JS Saoura ametoa angalizo Simba ijisahihishe na kutobweteka na ushindi wa leo maana JS Saoura ni timu changa na siyo timu kubwa kama za Al Ahly, AS Vita au Simba SC.