Klabu Bingwa Afrika, Uwanja wa Taifa-Dar: Simba SC yairarua JS Saoura bila huruma goli 3-0

Klabu Bingwa Afrika, Uwanja wa Taifa-Dar: Simba SC yairarua JS Saoura bila huruma goli 3-0

Sema mliokuwa Dar kwa Sasa wanatuangusha Hawa tulitakiwa tuanze kuwazomea pindi wanashuka tuu uwanja wa ndege na kuonyesha tunawachinja na wakikutana na jezi za Simba tuu...Kama wao wanavyotufanyiaga tukienda kwao ila sisi tunawapokea Kama Bibi harusi vile

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kuzomea=magoli?
 
Kwa mpira gani ambao Kongole wamecheza leo?

Wanatofauti gani na Mbabane hao? Ndio maana nasema as vita na al ahly wanabeba alama zote 6 kwa huyu js soura.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mlipokuwa mkijikusanya Taifa hamkujua hayo yote[emoji3][emoji3]

Mkuu hamkaukiwi na maneno nyie ndo Slogan yenu..Afadhali Sibonike hana la kusema.

Naamini tutazidisha juhudi kwa kila timu itakayokuja ha Bongo

This Is Simba..!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kocha wa JS Saoura ya Algeria awatolea povu waandishi wa michezo wa Bongo kwa Kuandika ndivyo sivyo. Aliyasema hayo baada ya kichapo cha mabao 3 toka kwa Simba SC ya Tanzania leo jioni

Kocha huyo wa JS Saoura amedai Simba imebebwa sana na maamuzi mabovu ya refarii na magazeti ya Tanzania jana kuandika habari zisizo sahihi kimechezo.

Kocha huyo wa JS Saoura ametoa angalizo Simba ijisahihishe na kutobweteka na ushindi wa leo maana JS Saoura ni timu changa na siyo timu kubwa kama za Al Ahly, AS Vita au Simba SC.
 
Ooooh Mara warabu koko,Mara wahindi na maneno mengine meeeengi, kwa nini mnateseka, hayo maneno hatukuyasikia kabla ya mechi, Acheni umbumbumbu wanaYanga Vyura FC.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kocha wa JS Saoura ya Algeria awatolea povu waandishi wa michezo wa Bongo kwa Kuandika ndivyo sivyo. Aliyasema hayo baada ya kichapo cha mabao 3 toka kwa Simba SC ya Tanzania leo jioni

Kocha huyo wa JS Saoura amedai Simba imebebwa sana na maamuzi mabovu ya refarii na magazeti ya Tanzania jana kuandika habari zisizo sahihi kimechezo.

Kocha huyo wa JS Saoura ametoa angalizo Simba ijisahihishe na kutobweteka na ushindi wa leo maana JS Saoura ni timu changa na siyo timu kubwa kama za Al Ahly, AS Vita au Simba SC.

Kapaniki huyo! Kwani hizo kalamu za waandishi ndio zilicheza uwanjani?
 
Back
Top Bottom