Klabu Bingwa Afrika, Uwanja wa Taifa-Dar: Simba SC yairarua JS Saoura bila huruma goli 3-0

Mmecheza na tim ambayo sio wazoefu wa haya mashindano, subirini Al ahly or Vita club mtachapwa nyingi sanaa....


Vivaa Wydad Casablanca
Tulimvua zamalek ubingwa wa Africa hapo hapo Cairo, au ulikuwa hujazaliwa??

Waarabu kwetu sio shida, Labda wajitahidi tuu kupunguza idadi ya magoli, ila kipigo kipo pale pale.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jee uliwahi kwenda kwao ukazomewa ukingali uwanja wa ndege? Huo siyo ustaarabu. Mpira mshinde mpinzani uwanjani na si nje ya uwanja (kwa mfano kwenye uwanja wa ndege; au hotelini walikofikia). Wala usimfanyie mabaya baada ya kipenga cha mwisho. Tunabakia wapinzani katika mpira na si maadui.
 
Nilipoona matokeo ya juzi nikawakumbuka Haras el Hodoooooooooooood walivyotundunda!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…