saidikobelo
Member
- Oct 28, 2018
- 75
- 25
Hawa jamaa wanatisha mana wamewapereka so mchezo kuna dhana hii timu huko kwao ni kama timu ya mbao
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angemalizia 'kisiki cha mpingo' kwa kimombo kama alivyoanza. CAF watu mind!!!Ila vyura/mbute mbute mnateseka eti wale sio waarabu original any way basi tufanye ni yanga wamejichubua
View attachment 992974
Sent using Jamii Forums mobile app
Tulimvua zamalek ubingwa wa Africa hapo hapo Cairo, au ulikuwa hujazaliwa??Mmecheza na tim ambayo sio wazoefu wa haya mashindano, subirini Al ahly or Vita club mtachapwa nyingi sanaa....
Vivaa Wydad Casablanca
Umeona eehhh mzee mwenzangu hakuna haja ya kushangaa hata aje nani mwendo wa kipigo tu!Tulimvua zamalek ubingwa wa Africa hapo hapo Cairo, au ulikuwa hujazaliwa??
Waarabu kwetu sio shida, Labda wajitahidi tuu kupunguza idadi ya magoli, ila kipigo kipo pale pale.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jee uliwahi kwenda kwao ukazomewa ukingali uwanja wa ndege? Huo siyo ustaarabu. Mpira mshinde mpinzani uwanjani na si nje ya uwanja (kwa mfano kwenye uwanja wa ndege; au hotelini walikofikia). Wala usimfanyie mabaya baada ya kipenga cha mwisho. Tunabakia wapinzani katika mpira na si maadui.Sema mliokuwa Dar kwa Sasa wanatuangusha Hawa tulitakiwa tuanze kuwazomea pindi wanashuka tuu uwanja wa ndege na kuonyesha tunawachinja na wakikutana na jezi za Simba tuu...Kama wao wanavyotufanyiaga tukienda kwao ila sisi tunawapokea Kama Bibi harusi vile
Sent using Jamii Forums mobile app
Tulimvua zamalek ubingwa wa Africa hapo hapo Cairo, au ulikuwa hujazaliwa??
Waarabu kwetu sio shida, Labda wajitahidi tuu kupunguza idadi ya magoli, ila kipigo kipo pale pale.
Sent using Jamii Forums mobile app
sifa zikizidi.................Sasa hivi kinachomsumbua kocha wa simba ni wachezaji gani watacheza klabu bingwa ya dunia
Vipi Jana ilikuwaje tena mkuuraha tupu kushabikia simba
Hahahaha wameamua kupotezea