Klabu Bingwa Afrika: Yanga 1 - 1 Al Ahly, 9 Aprili 2016

alisema mtuache kwanza tucheze za kimataifa.cjui sasahiv analip
 
Tunajindaa na CAF Federation Cup kuongeza mechi za Kimataifa
 
Naona umeumia mtu wangu...pole sana...

ninyi saizi yenu ni timu za kule mauritius na somalia/Djibouti....

Huko kwingine mwachieni MNYAMA,,,,,

Kuumia kutoka sare na karibia timu ya taifa ya Misri? Simba tumewaachia akina Ndanda na JKT Mgambo
 
Teh teh teh! Leo mtaani kimyaa.

Kumbe, nyie jamaa ndo huwa mnaleta kelele aisee.
 
Kuumia kutoka sare na karibia timu ya taifa ya Misri? Simba tumewaachia akina Ndanda na JKT Mgambo
mkuu bado unajifariji tu?...eti timu ya taifa ya misri..nyie si ni wakimataifa? mmeshindwa nini kuikabili vilivyo hiyo timu ya taifa?....

acha kulalamika, mpira sio porojo za kina Jeri muroho....
 
mkuu bado unajifariji tu?...eti timu ya taifa ya misri..nyie si ni wakimataifa? mmeshindwa nini kuikabili vilivyo hiyo timu ya taifa?....

acha kulalamika, mpira sio porojo za kina Jeri muroho....

Tuliyocheza nayo pia ni ya kimataifa. Wa mchangani acheni majungu, tungefungwa si mngetembea uchi Leo?
 
Nimehuzunika sana nilitaka mpigwe mkono...

Wa style yako mpo wengi na ndicho mlitaka. Mashabiki wa simba wana huzuni balaa. Ukikutana nao leo wamenuna kama mwanafunzi ambaye amekuwa wa mwisho darasani. Mbaya zaidi hao washenga wenu Azam wanapigwa nje ndani. Hapo adabu itarudi kidogo.
 
Mimi nazungumzia Yanga bana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…