Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi hujui mpira wewe!
!
Wa kimataifa ndio mnaenda kucheza mechi yenu ya mwisho
Ndiyo hao hao. Wamchangani walipigwa 4 kule AngolaMkuu hawa jamaa si ndio waliwatembezea kichapo wazee wa mchangani? (FC Libolo)
mtasema yote Leo..Ndiyo hao hao. Wamchangani walipigwa 4 kule Angola
Lazima tuwe na angle ya kupunguza kelele zenu mkuu!mtasema yote Leo..
Wamakonde wanasema, "Nanga chihwile mpunga libuda" tukitoka huku tunaelekea upande huu........Tunajindaa na CAF Federation Cup kuongeza mechi za Kimataifa
Naona umeumia mtu wangu...pole sana...
ninyi saizi yenu ni timu za kule mauritius na somalia/Djibouti....
Huko kwingine mwachieni MNYAMA,,,,,
mkuu bado unajifariji tu?...eti timu ya taifa ya misri..nyie si ni wakimataifa? mmeshindwa nini kuikabili vilivyo hiyo timu ya taifa?....Kuumia kutoka sare na karibia timu ya taifa ya Misri? Simba tumewaachia akina Ndanda na JKT Mgambo
mkuu bado unajifariji tu?...eti timu ya taifa ya misri..nyie si ni wakimataifa? mmeshindwa nini kuikabili vilivyo hiyo timu ya taifa?....
acha kulalamika, mpira sio porojo za kina Jeri muroho....
Nimehuzunika sana nilitaka mpigwe mkono...Tuliyocheza nayo pia ni ya kimataifa. Wa mchangani acheni majungu, tungefungwa si mngetembea uchi Leo?
Nimehuzunika sana nilitaka mpigwe mkono...
Mimi nazungumzia Yanga bana...Wa style yako mpo wengi na ndicho mlitaka. Mashabiki wa simba wana huzuni balaa. Ukikutana nao leo wamenuna kama mwanafunzi ambaye amekuwa wa mwisho darasani. Mbaya zaidi hao washenga wenu Azam wanapigwa nje ndani. Hapo adabu itarudi kidogo.
Mimi nazungumzia Yanga bana...
Vyura FC kweli mko Next LevelMkuu Yanga hii usipoipenda ni ujeuri tu, kwa sasa ipo next level