Klabu Bingwa Afrika: Yanga 1 - 1 Al Ahly, 9 Aprili 2016

Klabu Bingwa Afrika: Yanga 1 - 1 Al Ahly, 9 Aprili 2016

Hii mechi ya leo ni tamu sana,kila kheri yanga pambaneni mtutoe kimaso maso watanzania.
 
  • Thanks
Reactions: bdo
Nifah. Kamaupo live taifa,,,usisite kutwambia yanayojiri juu ya yanga vs alh,,,me nakuflow anytime
 
Mashabiki wa simba wanaviherehere kweli Mechi haiwahusu lakini wao ndio wa kwanza kuingia uwanjani
 
Mashabiki wa simba wanaviherehere kweli Mechi haiwahusu lakini wao ndio wa kwanza kuingia uwanjani
Mshabiki wa YANGA walikuwa na viherehere tulipocheza na Mazembe mpaka wakavaa magauni na blauzi za Mazembe

P4030019.jpg
 
MASHINDANO: Klabu Bingwa Afrika, Raundi ya 3, Mchezo wa Kwanza

TAREHE: 9 Aprili, Saa 10 Jioni

MAHALI: Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam

============================
============================
Uzalendo ACT, Waarabu chapa ndala hao
 
Al Ahly piga hao ndala goli za kutosha.
 
Back
Top Bottom