Eh Muumba jaalia yanga ifungwe bao nyingi za kutosha.
Acha roho mbaya ndugu yanguand vice verser is true.....
Mshabiki wa YANGA walikuwa na viherehere tulipocheza na Mazembe mpaka wakavaa magauni na blauzi za MazembeMashabiki wa simba wanaviherehere kweli Mechi haiwahusu lakini wao ndio wa kwanza kuingia uwanjani
Uzalendo ACT, Waarabu chapa ndala haoMASHINDANO: Klabu Bingwa Afrika, Raundi ya 3, Mchezo wa Kwanza
TAREHE: 9 Aprili, Saa 10 Jioni
MAHALI: Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam
============================
============================
saa kumi jioniMatch inaanza saa ngapi
Al Ahly piga hao ndala goli za kutosha.