Klabu Bingwa Afrika: Yanga 1 - 1 Al Ahly, 9 Aprili 2016



Asante kwa taarifa..!
 
Request Rejected
Sina hakika sana, Ila kuna uwezekano mkubwa mechi ikaonyweshwa online katika link hiyo hapo juu toka kwenye website ya klabu ya al ahly
 
Nawaona waarabu weusi wamepooza! wale weupe wamevua mashati huku wakipiga mangoma yao kama vile hawana akili. Au wanasubiria timu ya wananchi ifungwe ndio sasa walipuke kwa shangwe!!!

Kujipendekeza kugumu! na nyinyi yanga wakija tena tp mazembe msirudie kuvaa yale manyakanyaka yao.
 
zilirud 2 za taifa stars vs algeria hazitarud 2 za yanga vs al ahly.
 
Safi sana Aly Ahly.. Waongezeni nyingine nyingi.
 
...wakimataifa wameshapewa kidole cha muarabu....
 
Wamatopeni naona mnashangilia kweli.
 
...mabeki wote wanne wameingia golini kwa kichwa kimoja cha muarabu,pambaf....!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…