KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
11' Mins | Yanga 0 - 1 Al Ahly
Mkuu.. Uzalendo utarejea baada ya hii mechi.haaa haaaa
Mkuu hyo wameshatupiaMkuu umeweka mkeka nn??
Mkuu.. Uzalendo utarejea baada ya hii mechi.
tuliza jazba mkuu..! mpira mchezo wa stressyanga wangese sana...wafungwe tu
wamezoea kununua za ligi...niliwaambia muwahi kununua hii mechi au hamkunisikia?!,na bado..
Twende zetu chama LA waarabu
yanga wamerudisha 1;1