Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,307
- 25,932
Mkuu, VAR ilifuta baadaye. Kumradhi!Hivi mnakimbiliaga nini jamani? Kwanini usisubiri mpira uishe ndipo uje na βuchambuziβ wako huu uchwara?
Kadi nyekundu ilifutwa baada ya refa kujidhihirisha kupitia VAR kwamba haikuwa stahiki na badala yake kapewa ya njano pekee.
Ni kweli ni mwanzo mbaya ila bado mimi kama Mtanzania najivunia Samatta.
Daah halafu leo nimetoka kufuta namba yako kwenye simu yangu. Kumbe ndio uko smart ivi!!Hivi mnakimbiliaga nini jamani? Kwanini usisubiri mpira uishe ndipo uje na βuchambuziβ wako huu uchwara?
Kadi nyekundu ilifutwa baada ya refa kujidhihirisha kupitia VAR kwamba haikuwa stahiki na badala yake kapewa ya njano pekee.
Ni kweli ni mwanzo mbaya ila bado mimi kama Mtanzania najivunia Samatta.
Marekebisho nimeshayafanya Mkuu. Mwanzoni alionyeshwa kadi nyekunduUsitudanganye..
Wewe hujaangalia mpira.
No red card
Samatta bado sana tunamu_overrate mnoKongole Kwa SAMATA na Genk
Wewe umeacha kuuza Mkuu?Huu utumbo wapelekee wauza supu
Sijawahi kuwa muuzaji wala mnunuziWewe umeacha kuuza Mkuu?
Zipi?Hizi taarifa ni za kupuuza...
Bado sana kuwaje!? Kulimwa njano ni ni mapungufu!? Au kwa vile hajafunga zaidi ya 1 !? Safu yake ya ushambuliaji imetupia 2 huku safu yao ya ulinzi imeruhusu 6, Samatta binafs incompetence yake iko wapi hapo!?Samatta bado sana tunamu_overrate mno
Ulichoandika aibu naona mimi.ndio shida ya kuangalia mpira kwenye simu, unakuwa nyuma dakika 20
Wabongo utawaweza mzee!!!!Bado sana kuwaje!? Kulimwa njano ni ni mapungufu!? Au kwa vile hajafunga zaidi ya 1 !? Safu yake ya ushambuliaji imetupia 2 huku safu yao ya ulinzi imeruhusu 6, Samatta binafs incompetence yake iko wapi hapo!?