Klabu ya Al Ahly ya Nchini Misri imegoma kushiriki mechi yao ya dabi dhidi ya Zamalek

KING MIDAS

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
8,589
Reaction score
16,936
Klabu ya Al Ahly ya Nchini Misri imegoma kushiriki mechi yao ya dabi dhidi ya Zamalek inayotarajiwa kuchezwa leo ikisisitiza kuwa Shirikisho la Soka la Misri (EFA) linapaswa kuteua Mwamuzi wa kigeni badala ya kutumia Waamuzi wa ndani pia Klabu hiyo imetishia kujiondoa kwenye Ligi Kuu ya Misri endapo ombi lao halitatekelezwa.

Dabi hiyo ilikuwa sehemu ya hatua ya mbio za ubingwa lakini EFA ilitangaza usiku wa kuamkia leo kuwa mchezo huo utasimamiwa na Waamuzi wa ndani kinyume na makubaliano ya awali na kufuatia mkutano wa dharura uongozi wa Ahly ulitoa tamko rasmi ukitaka mchezo huo uahirishwe hadi Mwamuzi wa kigeni apatikane.

Ahly ilisisitiza kuwa iliwasilisha maombi yake mapema ikitaka Waamuzi wa kigeni kwa mechi muhimu ili kuhakikisha haki inatendeka hasa baada ya makosa ya mara kwa mara ya Waamuzi wa ndani kutotenda haki, hata hivyo Shirikisho ilijibu ikidai muda haukutosha kuwapata Waamuzi wa nje na kuitaka Ahly kuunga mkono Waamuzi wa ndani.

Mpaka sasa EFA haijatoa tamko jipya huku hali ya sintofahamu ikiendelea, yanajiri hayo huku Katika msimamo wa ligi ya Misri Pyramids FC inaongoza kwa alama 42 Ahly ikiwa ya pili na 39 huku Zamalek ikishika nafasi ya tatu kwa alama 32.
 
Ahly wanajuana sana na simba wamefundishana
 
Hata hapa kwetu tunahitaji waamuzi wa nje kwa hizi mechi za derby vinginevyo akina kayoko na aragija wataendelea na utopolo wao
Hisia tu hizo ila sioni la Kayoko na Aragija. Aragij sasa hivi anachezesha mpaka mechi za CAF. Sema tunawamudu TFF basi.

Mfano refa aliyechezesha mechi hii ya wiki iliyopita ya Arsenal na United,analalamikiwa sana na mashabiki wa Arsenal still kachezesha na anaweza kupewa mechi ya London Derby kati ya Arsenal na Spurs.
 
Klabu ya Al Ahly ya Nchini Misri imegoma kushiriki mechi yao ya dabi dhidi ya Zamalek inayotarajiwa kuchezwa leo ikisisitiza kuwa Shirikisho la Soka la Misri (EFA) linapaswa kuteua Mwamuzi wa kigeni badala ya kutumia Waamuzi wa ndani pia Klabu hiyo imetishia kujiondoa kwenye Ligi Kuu ya Misri endapo ombi lao halitatekelezwa.

Dabi hiyo ilikuwa sehemu ya hatua ya mbio za ubingwa lakini EFA ilitangaza usiku wa kuamkia leo kuwa mchezo huo utasimamiwa na Waamuzi wa ndani kinyume na makubaliano ya awali na kufuatia mkutano wa dharura uongozi wa Ahly ulitoa tamko rasmi ukitaka mchezo huo uahirishwe hadi Mwamuzi wa kigeni apatikane.

Ahly ilisisitiza kuwa iliwasilisha maombi yake mapema ikitaka Waamuzi wa kigeni kwa mechi muhimu ili kuhakikisha haki inatendeka hasa baada ya makosa ya mara kwa mara ya Waamuzi wa ndani kutotenda haki, hata hivyo Shirikisho ilijibu ikidai muda haukutosha kuwapata Waamuzi wa nje na kuitaka Ahly kuunga mkono Waamuzi wa ndani.

Mpaka sasa EFA haijatoa tamko jipya huku hali ya sintofahamu ikiendelea, yanajiri hayo huku Katika msimamo wa ligi ya Misri Pyramids FC inaongoza kwa alama 42 Ahly ikiwa ya pili na 39 huku Zamalek ikishika nafasi ya tatu kwa alama 32.
Cc
BODI YA LIGI
 
Kesho utaskia wakina Jemedari na wachambuzi wengine wapuuzi pamoja na bunch of Mbumbumbu wanakwambia Club kubwa zote zinagomeaga mechi si unaona Al ahly
Scenario ni tofauti kule sio kama Makomandoo wa Zamalek wamewazuia Al Ahly kufanya mazoezi.

Hapana.

Club zote kubwa zinataka kuona sheria inafuatwa.

Madai ya Al Ahly ni dhidi ya bodi ya ligi ya Misri kukiuka makubaliano ya sheria kuhusu mwamuzi wa kuchezesha mechi ili kuwe na fairness kwenye mchezo.

Al Ahly hawataki hii mechi achezeshe Kayoko wanataka aletwe mwamuzi kutoka nje ambaye hatokuwa na upande wowote kwenye hizi timu.
 
Back
Top Bottom