Klabu ya Al Ahly ya Nchini Misri imegoma kushiriki mechi yao ya dabi dhidi ya Zamalek

Hamna kama hiko shirikisho la mpira wa miguu halipo kwa ajili clubs pekee yake lipo hata kwa ajili ya marefa. Argentina Derby River Plate na Boca Juniors zao vurugu tu kabla ya mechi,ndani ya uwanja na baada ya mechi, ila sijawahi kusikia wakibadilisha marefa.

Chama cha soka kinatakiwa Boss wa hizi clubs zote na ndio maana EPL itabaki kuwa ligi bora miaka yote. Juzi mashabiki wa Arsenal walikuwa wanalamika refa aliyecheza match yao na United, ila siku ya mechi kacheza refa huyo huyo hakubadilishwa na hata wakiamua kwenye North London Derby na Spurs wanampanga.Sasa susia mechi halafu uone rungu utakalo kutana nalo.
Hiyo Argentina derby shida siyo marefa, ni uhasama wao tu kwahiyo marefa hawawezi kubadilishwa

Huko kwa Arsenal na Man U mashabiki ndiyo walikuwa wanalalamika ana sio viongozi wa timu ndiyo maana refa hakubadilishwa
 
Nani ka kwambia huijui Derby ya River Plate na Boca.Sasa viongozi wakilalamikia then ndio chama kibadilishe refa. Huu ujinga hata Spain ligi ya timu mbili ,Barca na Madrid hawachagui marefa,Bundasliga ligi ya timu moja ila Munich hachagui refa. Huu upuuzi upo huku kwetu,sababu clubs zinavimudu vyama vya soka.
 
Tayari
 
Attachments

  • Screenshot_20250312-000230.jpg
    Screenshot_20250312-000230.jpg
    279.1 KB · Views: 1
Hiyo Argentina derby shida siyo marefa, ni uhasama wao tu kwahiyo marefa hawawezi kubadilishwa

Huko kwa Arsenal na Man U mashabiki ndiyo walikuwa wanalalamika ana sio viongozi wa timu ndiyo maana refa hakubadilishwa
Tayari huko Zamalek kapewa points tatu.
Screenshot_20250312_000029_Instagram.jpg
 
Nani ka kwambia huijui Derby ya River Plate na Boca.Sasa viongozi wakilalamikia then ndio chama kibadilishe refa. Huu ujinga hata Spain ligi ya timu mbili ,Barca na Madrid hawachagui marefa,Bundasliga ligi ya timu moja ila Munich hachagui refa. Huu upuuzi upo huku kwetu,sababu clubs zinavimudu vyama vya soka.
Shida ni Babaunsa waliwazidi nguvu Polisi na Simba
 
Mnawamudu TFF ,Zamalek kishapewa point tatu. Mabaunsa ndio waliokuwa na funguo? Mnaenda kwenye uwanja wa watu bila kutoa taarifa mnazani uwanja ule ni wa TFF.
 
Sawa chukueni point kama mnazitaka
 
Simba ni club kubwa na bora Afrika,pia namba moja Tanzania,afrika mashariki na kati ni ya 5 kwasasa Afrika...chezea Simba wewe..akifanya jambo lazima liigwe mpaka misri

Screenshot_20250312_000029_Instagram.jpg

Unazania Misri kama bongo,hawafanyi kazi kupitia Instagram. Tayari Zamalek amechuku points tatu na goli.
 
Back
Top Bottom