KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
- Thread starter
- #41
Haya mambo Ulaya hayapoDuh....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya mambo Ulaya hayapoDuh....
Ujinga wetu umeanza kusambaa mpaka kwa waarabu.
Hamna kama hiko shirikisho la mpira wa miguu halipo kwa ajili clubs pekee yake lipo hata kwa ajili ya marefa. Argentina Derby River Plate na Boca Juniors zao vurugu tu kabla ya mechi,ndani ya uwanja na baada ya mechi, ila sijawahi kusikia wakibadilisha marefa.Siyo mara ya kwanza kwa Ligi ya Misri kutumia marefa wa kutoka ligi za nje ya nchi.
AtafitWamchukue ahmed arajiga akachezeshe hiyo derby
Ubaya Ubwela unazidi kusambaa.. hongera timu yangu ya SIMBASimba mfano wa kuigwa
Hata sisi tulikubaliana tangu mwanzo kwamba mechi mgeni anayo nafasi ya kufanya mazoezi siku moja kabla ya mechi kwa wakati uleule ambao mechi itachezwaWalikuwa wamekubaliana tangu mwanzo wa ligi kuwa marefa watakaochezesha michezo ya Al Ahly, Pyramids, Zamalek na Al Masry watoke kwenye ligi za nje ya nchi. Chama chao cha soka kinataka kupindisha makubaliano.
Afrika bhana! Sjui tutajitambua lin?!
Kayoko aende kuchezesha iyo dabi ya Egypt, harafu kayoko wa Egypt aje achezeshe dabi ya bongoKayoko wa uarabuni kasanukiwa.
Hayo makubaliano ya derby kati ya Simba na Yanga kuhusu timu mgeni kuwa na nafasi ya kufanya mazoezi siku moja kabla ya mechi yalifanyika lini?Hata sisi tulikubaliana tangu mwanzo kwamba mechi mgeni anayo nafasi ya kufanya mazoezi siku moja kabla ya mechi kwa wakati uleule ambao mechi itachezwa
Kwani unadhani ni mara yao ya kwanza? Waamuzi wanawatoaga Spain huko ulaya kwa kisingizio kina Tatu Malogo wanapewa mlungulaScenario ni tofauti kule sio kama Makomandoo wa Zamalek wamewazuia Al Ahly kufanya mazoezi.
Hapana.
Club zote kubwa zinataka kuona sheria inafuatwa.
Madai ya Al Ahly ni dhidi ya bodi ya ligi ya Misri kukiuka makubaliano ya sheria kuhusu mwamuzi wa kuchezesha mechi ili kuwe na fairness kwenye mchezo.
Al Ahly hawataki hii mechi achezeshe Kayoko wanataka aletwe mwamuzi kutoka nje ambaye hatokuwa na upande wowote kwenye hizi timu.
Zote ni allegations no matter they are differ from scenariosScenario ni tofauti kule sio kama Makomandoo wa Zamalek wamewazuia Al Ahly kufanya mazoezi.
Hapana.
Club zote kubwa zinataka kuona sheria inafuatwa.
Madai ya Al Ahly ni dhidi ya bodi ya ligi ya Misri kukiuka makubaliano ya sheria kuhusu mwamuzi wa kuchezesha mechi ili kuwe na fairness kwenye mchezo.
Al Ahly hawataki hii mechi achezeshe Kayoko wanataka aletwe mwamuzi kutoka nje ambaye hatokuwa na upande wowote kwenye hizi timu.