Klabu ya Al Ahly ya Nchini Misri imegoma kushiriki mechi yao ya dabi dhidi ya Zamalek

Eti ..Scenario tofauti..kwa misri na Tanzania si tofauti...hapa tunazungumzia action ya kugoma kucheza darby kama Simba.....mambo ya scenario mlizokaririsha inaangukia katika sababu tu ila action ya kugoma darby..same same action na Simba..acha siasa za maji taka
 
Usipo ujua umuhimu wa msingi kwa kuta ndefu ni sawa na kuzipanda mbigili na kuja peku
 
Ukiona hivyo wanakimudu chama chao cha soka.
Walikuwa wamekubaliana tangu mwanzo wa ligi kuwa marefa watakaochezesha michezo ya Al Ahly, Pyramids, Zamalek na Al Masry watoke kwenye ligi za nje ya nchi. Chama chao cha soka kinataka kupindisha makubaliano.
 
HAWATAKI kama nani mbafuuuzao
 
Walikuwa wamekubaliana tangu mwanzo wa ligi kuwa marefa watakaochezesha michezo ya Al Ahly, Pyramids, Zamalek na Al Masry watoke kwenye ligi za nje ya nchi. Chama chao cha soka kinataka kupindisha makubaliano.
Hamna chama cha Soka kinacho kubali ujinga huo kwani ukifanya hivyo unaumiza marefa wa nchini kwako na hayo makubaliano hayapo bali wasiwasi wao ila hakipo chama hiko cha soka hata TFF wenyewe hawawezi kukubali.

Nchi za America kusini Derby zao zinafujo sana naweza kusema kuliko Derby za mabara mengine ila bado marefa wanatumia wa kwao.
 
SimbaSC NguvuMoja #UbayaUbwela

Al ahly SC #Together Forever
 
Inawezekana huko nako kuna watu wenye akili kama za simba na yanga.
Kumbuka hao ni mabingwa wa kihistoria wa klabu za Afrika,ni pia ni klabu bora ya karne Afrika
 
Siyo mara ya kwanza kwa Ligi ya Misri kutumia marefa wa kutoka ligi za nje ya nchi.
 
Duh....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…