Klabu ya Al Ahly ya Nchini Misri imegoma kushiriki mechi yao ya dabi dhidi ya Zamalek

Hiyo Argentina derby shida siyo marefa, ni uhasama wao tu kwahiyo marefa hawawezi kubadilishwa

Huko kwa Arsenal na Man U mashabiki ndiyo walikuwa wanalalamika ana sio viongozi wa timu ndiyo maana refa hakubadilishwa
 
Nani ka kwambia huijui Derby ya River Plate na Boca.Sasa viongozi wakilalamikia then ndio chama kibadilishe refa. Huu ujinga hata Spain ligi ya timu mbili ,Barca na Madrid hawachagui marefa,Bundasliga ligi ya timu moja ila Munich hachagui refa. Huu upuuzi upo huku kwetu,sababu clubs zinavimudu vyama vya soka.
 
Tayari
 
Attachments

  • Screenshot_20250312-000230.jpg
    279.1 KB · Views: 1
Hiyo Argentina derby shida siyo marefa, ni uhasama wao tu kwahiyo marefa hawawezi kubadilishwa

Huko kwa Arsenal na Man U mashabiki ndiyo walikuwa wanalalamika ana sio viongozi wa timu ndiyo maana refa hakubadilishwa
Tayari huko Zamalek kapewa points tatu.
 
Shida ni Babaunsa waliwazidi nguvu Polisi na Simba
 
Mnawamudu TFF ,Zamalek kishapewa point tatu. Mabaunsa ndio waliokuwa na funguo? Mnaenda kwenye uwanja wa watu bila kutoa taarifa mnazani uwanja ule ni wa TFF.
 
Sawa chukueni point kama mnazitaka
 
Simba ni club kubwa na bora Afrika,pia namba moja Tanzania,afrika mashariki na kati ni ya 5 kwasasa Afrika...chezea Simba wewe..akifanya jambo lazima liigwe mpaka misri

Unazania Misri kama bongo,hawafanyi kazi kupitia Instagram. Tayari Zamalek amechuku points tatu na goli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…