Klabu ya Azam FC imethibitisha kupokea barua kutoka kwa mshambuliaji Prince Dube akiomba kuvunja mkataba

Dube ni mchezaji mzuri mkuu kuliko wewe UNAVYODHANI.
 
INAELEZWA TATIZO NI KOCHA WAKE

Klabu ya @azamfcofficial imethibitisha mshambuliaji wao Prince Dube ameomba kuondoka Viunga vya Chamazi Complex .

Uongozi wa Azam FC umemtaka mshambuliaji huyo kufuata masharti ya mkataba wake kwa kulipa kiasi cha Dolla Laki Tatu ( Sh. Mil 855) za Kitanzania.

Dube Hana maelewano mazuri na kocha wake mkuu Yousouph DABO Kwa muda mrefu sasa .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…