Klabu ya Azam FC imethibitisha kupokea barua kutoka kwa mshambuliaji Prince Dube akiomba kuvunja mkataba

Klabu ya Azam FC imethibitisha kupokea barua kutoka kwa mshambuliaji Prince Dube akiomba kuvunja mkataba

Na wao waone ugumu wa haya mambo! Kipindi kile kwa Fei walijiona miamba sana[
Yanga ndio walikuwa wapuuzi, fei alitimiza matakwa ya mkataba lakini yanga wanataka mazungumzo, sasa unajiuliza mazungumzo yanini wakati tayari mkataba unazungumza? Ndiomaana azam wamemwambia dube afate matakwa ya mkataba
 
Huo ujinga ufanyike huko huko Azam FC timu zisizo na malengo
 
Mnaosema Dube amna mchezaji na wakati timu zenu zote pendwa zinaangaika ucku na mchana kuakikisha wanampata..kwa timu zote za kariakoo Dube utamfananisha na striker gani pale kwa waliokuwepo..
Kama hizi timu zinamtaka huyu mchezaji zinabugi Dube striker wa kawaida Mkuu kwa mfano Dube hafikii hata uwezo wa Baleke kwenye ishu ya kufunga hizi timu ziache mapepe tu
 
Mzee Mayele stats zinaonyesha hata akiwa Yanga hakuwa striker tishio kiasi hicho hapa Tanzania. Dube is a monster bhn. Mayele ni kuimbwa tu aliimbwa sana ila hamna kitu pale.
Stats zipi hizo zinaonesha Dube ni bora kuliko Mayele?Dube katika misimu yake minne Azam amefunga magoli 34 wakati hayo magoli 34 Mayele kayafunga kwenye misimu miwili.
 
Attachments

  • Screenshot_20240305-121738.png
    Screenshot_20240305-121738.png
    254.5 KB · Views: 3
Back
Top Bottom