Klabu ya Azam FC imethibitisha kupokea barua kutoka kwa mshambuliaji Prince Dube akiomba kuvunja mkataba

Hakuna mchezaji pale. Nashangaa eti analinganishwa na Mayele!! Labda Mayele wa Ikwiriri
 
Unamuongelea Lucky Dube labda sio Prince Dube
 
Mnaosema Dube amna mchezaji na wakati timu zenu zote pendwa zinaangaika ucku na mchana kuakikisha wanampata..kwa timu zote za kariakoo Dube utamfananisha na striker gani pale kwa waliokuwepo..

Hakuna timu ya kutoa milioni 300 achilia mbali hizo 700 wanazotaka azam ili kumuachia dube. Ni mshambuliaji wa kawaida ambaye hajajipambanua. Kugombewa na simba na yanga si kipimo cha ubora. Hata Gula Joshua aligombewa miaka ile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…