Yanga ndio walikuwa wapuuzi, fei alitimiza matakwa ya mkataba lakini yanga wanataka mazungumzo, sasa unajiuliza mazungumzo yanini wakati tayari mkataba unazungumza? Ndiomaana azam wamemwambia dube afate matakwa ya mkatabaNa wao waone ugumu wa haya mambo! Kipindi kile kwa Fei walijiona miamba sana[
Huo ujinga ufanyike huko huko Azam FC timu zisizo na malengoYanga ndio walikuwa wapuuzi, fei alitimiza matakwa ya mkataba lakini yanga wanataka mazungumzo, sasa unajiuliza mazungumzo yanini wakati tayari mkataba unazungumza? Ndiomaana azam wamemwambia dube afate matakwa ya mkataba
Kama hizi timu zinamtaka huyu mchezaji zinabugi Dube striker wa kawaida Mkuu kwa mfano Dube hafikii hata uwezo wa Baleke kwenye ishu ya kufunga hizi timu ziache mapepe tuMnaosema Dube amna mchezaji na wakati timu zenu zote pendwa zinaangaika ucku na mchana kuakikisha wanampata..kwa timu zote za kariakoo Dube utamfananisha na striker gani pale kwa waliokuwepo..
Wewe ni scout?Kama hizi timu zinamtaka huyu mchezaji zinabugi Dube striker wa kawaida Mkuu kwa mfano Dube hafikii hata uwezo wa Baleke kwenye ishu ya kufunga hizi timu ziache mapepe tu
Ahsante kwa KUSHIRIKI.
Stats zipi hizo zinaonesha Dube ni bora kuliko Mayele?Dube katika misimu yake minne Azam amefunga magoli 34 wakati hayo magoli 34 Mayele kayafunga kwenye misimu miwili.Mzee Mayele stats zinaonyesha hata akiwa Yanga hakuwa striker tishio kiasi hicho hapa Tanzania. Dube is a monster bhn. Mayele ni kuimbwa tu aliimbwa sana ila hamna kitu pale.