inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
gaucho ilibidi wamtoe,alikua anamfundisha starehe messiMe sioni kama kuna shi kwa mchezaji aliyetwaa kila taji kuondoka kwa umri ule wa 33
Kwetu Barcelona aliondoka Ronaldinho akiwa 28+ hakuna aliyeamini
Pia Maestro Iniesta ameondoka kwa hiyo ni jambo la kawaida wala usitegemee Madrid kufa
madrid sio timu ya mpira,ni genge la kuuza majina ya wachezaji wakubwa,mbape angekua mweupe ingewalipa kumchukua..hapo anaewafaa ni neymar..japo hana ushawWamchukue Dybala and Mbape..hapo watakuwa wamefanya jambo la maana
itayumba barcelona tu..ndo timu pekee duniani inayomtegemea mtu mmoja,asipokuwepo inafungwa saba na levante
Mbappe, Paulo Dyabala, Mohammed Saleh na Eden Hazard....Hakika,namuona Mbape akitua bernabeu.
Hahahahahaha, one man show club!itayumba barcelona tu..ndo timu pekee duniani inayomtegemea mtu mmoja,asipokuwepo inafungwa saba na levante
gaucho ilibidi wamtoe,alikua anamfundisha starehe messi
Mbape, Nemar na Mohammed Saleh...
We hope Real Madrid will buy all of them.
In Sha Allah.
Takwimu zinaongeaAngekuwa King Messi hapo ingeyumba sana tim,, na ingechukua karne na karne kumpata mbadala wake....but cr7!!! Huyu huyu mmaliziaji/mwenye kutengewa na akina karim!!!! Sioni cha ajabu hapo..acha aondoke!
Halaf mkuu Black Panther hakuna timu inaweza kufa kwa kuondoka mchezaji japo kuna wachezaji kupata mbadala wao ni ngumu sana Mf.Ronaldo hata huyo messi unaesema muda wake wa kustaafu na Barcelona itaendelea kuwa klabu kubwa duniani coz hata yeye aliikuta hivyo the same to Cr7Angekuwa King Messi hapo ingeyumba sana tim,, na ingechukua karne na karne kumpata mbadala wake....but cr7!!! Huyu huyu mmaliziaji/mwenye kutengewa na akina karim!!!! Sioni cha ajabu hapo..acha aondoke!
Takwimu zinaongeaView attachment 805389
sidhani hii dili itaisha akimwaga wino man utd,This week kabla haijaisha basi kutakuwa na habari njema na mbaya kwa wapenzi wa Soka wa Real Madrid kuhusu Goal Mashine CRISTIANO RONALDO atajiunga na Mabibi kizee wa TURIN JUVENTUS
View attachment 802207
najua unataniaAlionekana wa kawaida sana baada ya King Messi kutuwa pale..Messi ni wonders na ni dhambi kubwa kumlinganisha na Gaucho 😀