Porojo tu zimekukaa. Toa sababu za kiufundi na sio mihemkoHuwa kila siku nasema hii timu ya simba imejaa mabumbumbu ndio maana mimi niliamua kuihama mwaka huu baada ya kuangukia mashindano ya kina mama wanayasifia na wanasahau walikua wanasema ni kombe la looser nasema kama simba ikapita kwenye hili kundi nipigwe ban.