Klabu ya Simba ikipita kwenye hili kundi nipigwe ban

Klabu ya Simba ikipita kwenye hili kundi nipigwe ban

... nasema kama Simba ikapita kwenye hili kundi nipigwe ban.
Mods hii ahadi haijatekelezwa, huyu jamaa Gunner Shooter hajaenda nyuma ya nondo bado maana ahadi yake aliiweka kabla mechi za makundi hazijaanza mwanzoni kabisa baada ya groups kupangwa

Nawaita mods ili haki itendeke: Active, BlackBold, Boqin, Bridger, Payge, celix, Cookie, Diversity, Fang, Fixer, Innovator, Maxence Melo, Mhariri, Moderator, NightCrawler na Paw

NB: Kwa kuwa hakutaja aende jela siku ngapi, tafsiri nyingine ni kwamba ale ban indefinitely
UBAYA UBWELA
 
Back
Top Bottom