Klabu ya Simba ikipita kwenye hili kundi nipigwe ban

Klabu ya Simba ikipita kwenye hili kundi nipigwe ban

Nimejitambua siwezi shabikia timu za manyani ambazo ni simba na yanga
Huo utetezi hautoshi kupunguza adhabu, ongeza mwingine


1736874405417.png
 
Kwani wakati unatoa ahadi ulikuwa unapigwa miti haukuwa kwenye akili yako ya kawaida?? Ulikuwa umenogewa na ub.oo unavyokusugua kunako hadi ukajikuta unaropoka???
#Moderator
 
Tafuta kazi ya kufanya be Sasa hivi sishabikii timu za manyani chama langu arsenal tu nimejitambua kwamba ukishabikia simba na yanga unakua zombi ndio kamaa nyie hapa
Mods piga ban huyu mtu, aliomba mwenyewe. Ajifunze kutumia akili kuanzisha thread.
 
Back
Top Bottom