Klabu ya Simba ikipita kwenye hili kundi nipigwe ban

Klabu ya Simba ikipita kwenye hili kundi nipigwe ban

Huyu jamaa ameamua fasta kubadili ID na kisha kuedit content ionekane aliomba ban ya siku moja wakati alisema aondolewe JF kama ambavyo title inasema, maana user wa kawaida huwezi kuedit title.
ID yake ya mwanzo ilikuwa ni Football na ya sasa ni Gunner Shooter. Lengo ni kuwapoteza mods washindwe kumfungia na kumuondoa kabisa JF

View attachment 3202220
Active, BlackBold, Boqin, Bridger, Payge, celix, Cookie, Diversity, Fang, Fixer, Innovator, Maxence Melo, Mhariri, Moderator, NightCrawler na Paw
Hii kiumbe ifungiwe asap!
 
Tayari huko! 🤣🤣🤣

1736918313506.png
 
Back
Top Bottom