Klabu ya Simba imemtangaza Kocha Abdelhak Benchikha kumrithi Kocha Roberto Oliveira ‘Robertinho’

Ni kweli mkuu ligi imeongezeka ubora
 
Kocha ni lile lile la asec mimosas.. Jamaa anajua.

Huyu msimu uliopita game 2 za yanga na ile wanamfunga al ahly kwenye super cup soka lake si asili ya simba..
Sijui labda aje abadilike.
Simba ilishaipa kisogo identity yake ya soka la pass nyingi.
 
Bado 5-1 zinaishi vichwani mwenu, Kisa alitufunga finals?
Tena kwa kanuni pekee?

Huyu ndio mzuri, tukiwafunga tunaua ndege wawili kwa jiwe moja, karibu Tanzania Benchika,
Nyumbani kwa mabingwa wa kihistoria Young Africans.
Nifah Kama wewe ni yanga, kwa heshima ya Wana Simba toa lemba Hilo kichwani
 
Bado 5-1 zinaishi vichwani mwenu, Kisa alitufunga finals?
Tena kwa kanuni pekee?

Huyu ndio mzuri, tukiwafunga tunaua ndege wawili kwa jiwe moja, karibu Tanzania Benchika,
Nyumbani kwa mabingwa wa kihistoria Young Africans.
Kama nyie mlivyomsajili okwi baada ya kuwatupia bao mbili kati ya zile tano mwezi wa 5 tarehe 6 2012?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…