Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 24,606
- 39,289
Klabu ya Simba imemtangaza Kocha Abdelhak Benchikha kuwa mrithi wa kiti kilichoachwa wazi na Kocha Roberto Oliveira ‘Robertinho’
Kabla ya kutua mitaa ya Msimbazi Kocha Benchikha ambaye ni raia wa Algeria aliiongoza USM Alger katika fainali za Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC)msimu uliopita na kutwaa kombe mbele ya Yanga SC.
Pia, soma => Simba SC yaachana na Kocha Mkuu Abdelhak Benchikha