Kilimbatz
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 4,331
- 5,865
AaahaaaView attachment 2823759
Alichofukuziwa usm alger
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AaahaaaView attachment 2823759
Alichofukuziwa usm alger
Akili huwa haisubiri mkuu, ubongo wangu umeniambia kile ambacho nimekiona mara kadhaaMbn mapema Mkuu?
Kocha ni lile lile la asec mimosas.. Jamaa anajua.
Huyu msimu uliopita game 2 za yanga na ile wanamfunga al ahly kwenye super cup soka lake si asili ya simba..
Sijui labda aje abadilike.
Kocha ni lile lile la asec mimosas.. Jamaa anajua.
Huyu msimu uliopita game 2 za yanga na ile wanamfunga al ahly kwenye super cup soka lake si asili ya simba..
Sijui labda aje abadilike.
Wewe kigololi kinakushuka inakuhusu nini? Ukisikia Simba tayari unawashwaHuo muda wa kusubiri mtaupata wapi. Na wakati wa dirisha la usajili viongozi wenu watasajili wachezaji wa bei nafuu, na wale wa mihemko wa airport!
Halafu mwishoni mwa msimu, kama ilivyo kawaida, mtamtengenezea zengwe na kumfukuza.
Kibongo bongo uzee tusiseme saana, mara nyingi vibabu ndio tunavyovitumia.Je Tatizo la Simba ni kocha au wachezaji wazee ? hivi nahodha wa Simba unamfahamu ?
Kocha huyu ni bora zaidi na ataweza kuibadili timu akipatiwa nafasi ya kufanya hivyo, na kupatiwa wachezaji watakaoendana na falsafa yake.Nasikitika kusema kwamba tatizo la simba halikuwa kocha bali uongozi
"Simba imepata mtu sahihi mbovu ambaye hafai"So maoni yako ni yapi?
Kocha mbovu hafai au Simba imepata mtu sahihi?
Sio wanawaka sasa hizo tano na ujio wakocha vinahusiana niniMbona mnawaka sana mkisikia 5-1 jamani? Yani yote niliyosema wote mmekomalia 5-1!
Ok,sawa MkuuAkili
Akili huwa haisubiri mkuu, ubongo wangu umeniambia kile ambacho nimekiona mara kadhaa
Akili za Chura bhana kwanza vp game umeionaje😂Bado 5-1 zinaishi vichwani mwenu, Kisa alitufunga finals?
Tena kwa kanuni pekee?
Huyu ndio mzuri, tukiwafunga tunaua ndege wawili kwa jiwe moja, karibu Tanzania Benchika,
Nyumbani kwa mabingwa wa kihistoria Young Africans.
Wewe umeongea ukweli,ila kama wakimpa target kubwa kwa timu hii mliyo nayo ,basi hata pasaka hafiki huyu.yule hatumuwezi maana viongoz mpk washabiki neno subra hatuna yule anahitaj msimu miwil mpk mitatu je unauvumilivu huo?...
Kwanza kabisa to declare interest mimi ni simba damu,kuhusu ubora wa kocha ni obvious yupo vizuri lakini tatizo la uongozi lisipotibiwa nadhani bado tutakuwa na wakati mgumuKocha huyu ni bora zaidi na ataweza kuibadili timu akipatiwa nafasi ya kufanya hivyo, na kupatiwa wachezaji watakaoendana na falsafa yake.
Mashabiki wengi wa Yanga mumedhani kwamba timu yenu iko juu sana kwasababu ya kuifunga Simba magoli 5-1.
Timu mnayo nzuri lakini safari bado ni ndefu msijidanganye.
Btw unatizama mpira now? Mshapigwa vitu vizito 2.
😂Nikumbushe mechi ijayo ya simba na Yanga ni lini kuna jambo litatokea baada ya mchezo.