Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Wajinga ndio mliwaoMods hebu futeni hizi takataka za huyu mtu, ikiwezekana na yeye apigwe ban kabisa, kwani wewe unapohonga wanawake zako serikali huwa inaingilia kati
Soma Uzi mpaka mwisho Kuna mjinga kamchangia mo elfu 30 halafu familia inalia njaaUto umelazimishwa kuchanga?
ni hiari, mashabiki hawalazimishwi, ila ni upuuzi kuchangia, hiyo ni sawa na kikombe cha maji kumwagia baharini ili ijae. Simba ni taasisi kubwa na ina hela za kutosha kulipa faini hiyo bila shida. Ilipe kocha na wachezaji mamilioni ya pesa, itashindwaje kulipa faini hiyo mpaka ichangiwe? Ni upuuzi mtupuViongozi wa hii taasisi wameanzisha kampeni ya utapeli ambayo sisi kama raia wema tunaomba serikali yetu tukufu iingilie kati sababu raia masikini wanakamuliwa bila kujitambua yaani wanampa tajiri pesa bila Kokomo unaambiwa wanachangisha milion 100 ila je inayozidi inaenda wapi kama sio Kwa matapeli ambao ni Ahmed ally na kina mangungu wajinga ndio waliwao huku mtaani Kuna jamaa kachangia elfu 30 halafu kumbe hata familia yake hajaiachia pesa ya kula mkewe anakuja kutuomba tumkopeshe mmewe hela ndio tumeshangaa wakati jamaa kachangia elfu 30 Leo asubuhi hii akili Gani
Kwamba wanamwaga maki baharinini hiari, mashabiki hawalazimishwi, ila ni upuuzi kuchangia, hiyo ni sawa na kikombe cha maji kumwagia baharini ili ijae. Simba ni taasisi kubwa na ina hela za kutosha kulipa faini hiyo bila shida. Ilipe kocha na wachezaji mamilioni ya pesa, itashindwaje kulipa faini hiyo mpaka ichangiwe? Ni upuuzi mtupu
wanamwaga maji baharini ili ijae, huo si ni ujuha? Klabu kama tabora na singida haitashangaza kujangiwaKwamba wanamwaga maki baharini
Wakati utopolo mlipokuwa mnatembeza bakuli mlikuwa mnatapeli watu?Viongozi wa hii taasisi wameanzisha kampeni ya utapeli ambayo sisi kama raia wema tunaomba serikali yetu tukufu iingilie kati sababu raia masikini wanakamuliwa bila kujitambua yaani wanampa tajiri pesa bila Kokomo unaambiwa wanachangisha milion 100 ila je inayozidi inaenda wapi kama sio Kwa matapeli ambao ni Ahmed ally na kina mangungu wajinga ndio waliwao huku mtaani Kuna jamaa kachangia elfu 30 halafu kumbe hata familia yake hajaiachia pesa ya kula mkewe anakuja kutuomba tumkopeshe mmewe hela ndio tumeshangaa wakati jamaa kachangia elfu 30 Leo asubuhi hii akili Gani
Mimi sio utopolo Wala kolo umechanganyikiwa mzeeWakati utopolo mlipokuwa mnatembeza bakuli mlikuwa mnatapeli watu?
Humuhumu ndani mashabiki kwa hiali yao waliomba iwekwe account ya kuchangia cha kusikitisha wewe shabiki wa yanga unakuja kuingilia vitu visivyokuhusuni hiari, mashabiki hawalazimishwi, ila ni upuuzi kuchangia, hiyo ni sawa na kikombe cha maji kumwagia baharini ili ijae. Simba ni taasisi kubwa na ina hela za kutosha kulipa faini hiyo bila shida. Ilipe kocha na wachezaji mamilioni ya pesa, itashindwaje kulipa faini hiyo mpaka ichangiwe? Ni upuuzi mtupu
ChaiSoma Uzi mpaka mwisho Kuna mjinga kamchangia mo elfu 30 halafu familia inalia njaa
Sijawahi kushabikia hiyo timu uliyoitaja utakua umechanganyikiwa Kwa kua umeshapigwa na wajanja kutoka msimbazi kariakoo nenda katume nyingine maana wajinga ndio waliwao unamwaga maji baharini🤣🤣🤣🤣🤣🤣Humuhumu ndani mashabiki kwa hiali yao waliomba iwekwe account ya kuchangia cha kusikitisha wewe shabiki wa yanga unakuja kuingilia vitu visivyokuhusu
Sahihi kabisaUkijiona unashabikia simba, Yanga, chadema na ccm jitambue kama mpumbavu.
Ukikubali kitu kwa hiali hujapigwa na mtuSijawahi kushabikia hiyo timu uliyoitaja utakua umechanganyikiwa Kwa kua umeshapigwa na wajanja kutoka msimbazi kariakoo nenda katume nyingine maana wajinga ndio waliwao unamwaga maji baharini🤣🤣🤣🤣🤣🤣