Klabu ya Simba ndiyo mlango wa ustaarabu katika mpira wa Tanzania

DELETED ACCOUNT

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2010
Posts
9,805
Reaction score
15,476
Labda hawa watoto wa 2000 ndiyo hawajui ila embu tuwape darsa kidogo kuhusu historia iliyotukuka na isiyoweza kufutwa na yeyote ya kuingiza na kukuza ustaarabu katika mpira wa Tanzania.

Simba ndiyo ilikuwa timu ya kwanza kuvaa jezi nchi hii.

Simba ndiyo ilikuwa timu ya kwanza kuvaa viatu vya mpira nchi hii.

Simba ndiyo ilikuwa timu ya kwanza kupanda ndege nchi hii.

Simba ndiyo ilikuwa timu ya kwanza kutumia teknolojia ya VAR katika uwanja wa nchi hii.

Simba ndiyo inaenda kuzika utamaduni wa mabausa na uhuni mwingine ikiwemo ushirikina katika derby na mechi nyingine za soka nchi hii.

Simba ndiyo mlango wa ustaarabu wa mpira katika nchi hii. Kubali, kataa UKWERI ndiyo huo!!
 
Ahmed ally.jpg
 
Simba ndiyo inaenda kuzika utamaduni wa mabausa na uhuni mwingine ikiwemo ushirikina katika derby na mechi nyingine za soka nchi hii.
Mshirikina halafu mkazike ushirikina uliona wapi?

Simba ndio timu ya kwanza kutoka Tanzania kupigwa faini na shirikisho la soka afrika kwa vitendo vya kishirikina dhidi ya Orlando pirates ya South Africa.
Screenshot_20250308-120214_Chrome.jpg
 
Kijana ukistaajabu ya simba, utayaona ya yanga kupitia mlango wa nyuma kwenye kila mechi dhidi ya simba, hata hii ya juzi ambayo iliahirishwa nayo walipitia mlango wa nyuma maana yake nini
Na baada ya hili sakata na kanuni mpya zitakapotungwa, Yanga haitakuwa na ubavu tena wa kufanya upuuzi huo na hapo ndiyo hoja ya Simba kama mlango wa ustaarabu itakapoingia.
 
Mshirikina halafu mkazike ushirikina uliona wapi?

Simba ndio timu ya kwanza kutoka Tanzania kupigwa faini na shirikisho la soka afrika kwa vitendo vya kishirikina dhidi ya Orlando pirates ya South Africa.
View attachment 3274285

Kwamba Simba sio timu ya kwanza kutoka Tanzania kupigwa faini na shirikisho la mpira afrika kwa vitendo vya kishirikina?
View attachment 3274286
Simba ilipigwa faini kwa kuperform RITUAL. Nyie waswahili ndiyo mkaja kutafsiri "rituals" kama "ushirikina" wakati siyo kweli.
 
Labda hawa watoto wa 2000 ndiyo hawajui ila embu tuwape darsa kidogo kuhusu ustaarabu katika mpira.

Simba ndiyo ilikuwa timu ya kwanza kuvaa jezi nchi hii.

Simba ndiyo ilikuwa timu ya kwanza kuvaa viatu vya mpira nchi hii.

Simba ndiyo ilikuwa timu ya kwanza kupanda ndege nchi hii.

Simba ndiyo ilikuwa timu ya kwanza kutumia vifaa vya VAR katika uwanja wa nchi hii.

Simba ndiyo inaenda kuzika utamaduni wa mabausa na uhuni mwingine ikiwemo ushirikina katika derby na mechi nyingine za soka nchi hii.

Simba ndiyo mlango wa ustaarabu wa mpira katika nchi hii. Kubali, kataa UKWERI ndiyo huo!!
[/QUOTE ustaarabu kitambo
 
Attachments

  • Screenshot_20250317-184850.jpg
    Screenshot_20250317-184850.jpg
    463.1 KB · Views: 40
Labda hawa watoto wa 2000 ndiyo hawajui ila embu tuwape darsa kidogo kuhusu ustaarabu katika mpira.

Simba ndiyo ilikuwa timu ya kwanza kuvaa jezi nchi hii.

Simba ndiyo ilikuwa timu ya kwanza kuvaa viatu vya mpira nchi hii.

Simba ndiyo ilikuwa timu ya kwanza kupanda ndege nchi hii.

Simba ndiyo ilikuwa timu ya kwanza kutumia vifaa vya VAR katika uwanja wa nchi hii.

Simba ndiyo inaenda kuzika utamaduni wa mabausa na uhuni mwingine ikiwemo ushirikina katika derby na mechi nyingine za soka nchi hii.

Simba ndiyo mlango wa ustaarabu wa mpira katika nchi hii. Kubali, kataa UKWERI ndiyo huo!!
Hivi sisi watanzania ni binadamu kweli?
 
Back
Top Bottom