ilala yetu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 1,451
- 2,348
mkuu hapo simba kidogo kapata ka unafuu hao waydad na experience ni wamoto nowadays ...acha kbsa,,...bora mazembe Mara kumi
Simba hamshindi TP Mazembe, iwe nyumbani au ugeniniMechi ya Kwanza
Simba 2 mazembe 1
Mechi ya 2 kule Congo
Mazembe 4 Simba 0
Sent using Jamii Forums mobile app
Fafanua kidogoroho mbaya fc waombeeni Gormahia watolewe ili mcheze champions league mwakani
Sent using Jamii Forums mobile app
Nusu fainali ipo wazi, Mazembe na Waydad CasablancaMshindi ya Simba vs mazembe
Anacheza nusu na mshindi Kati ya
Horoya FC vs wydad Casablanca
View attachment 1050100
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ni kutoka tu, yaani simba anakamilisha ratiba tuHapa pagum maana tunaanza nyumban sijui inakuaje
Simba hawezi mfunga TP Mazembe goli 3Mkuu hizi mechi za kiafrica Zina majungu Sana
Hawa tp mazembe hapa Dar tunaweza hata kumpiga 3 kwa 1
Ila kule Congo
Tunaweza pigwa hata 5 bill Tena
Kwenye makundi mazembe alishinda 8 bila na club African ya Tunisia ila kule Tunisia akadroo ya bila bila
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani pale simba ataekupa hizo hela?Tutafungwa 10 ila tutapata $650,000; wewe uliyefungwa 1 na Lipuli unapata nini? Hiyo ndiyo tofauti.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wao wana Mungu pia.Hakuna kitu kama hicho.lazma tuingie nusu fainali.
Tukimtegemea mungu.tunapita
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu naona unatoa ushuhuda wako,haaaa haaa haaaaaWewe unajiita cutelove ila mtu akikjtana na wewe anaweza akalia. Wanawake wa jamii forum kwa kujiita majina mazuri na kuweka picha nzuri hamjambo ila mtu akikuona live anaweza kulia, shapeless!
Siyo Semi Final Mshindi kati ya Simba na Mazembe QF4 anacheza na mshindi kati ya Constatine na Esperance QF1Mshindi ya Simba vs mazembe
Anacheza nusu na mshindi Kati ya
Horoya FC vs wydad Casablanca
View attachment 1050100
Sent using Jamii Forums mobile app
Round hii Yanga mtazungusha Tako mpaka litepete...
Na bado .. hamjasema
Angalia hii draft mkuuSiyo Semi Final Mshindi kati ya Simba na Mazembe QF4 anacheza na mshindi kati ya Constatine na Esperance QF1
CHURA CHAMPIONS LEAGUEKiama kimefika sasa maamae!
paulin yuko sahihi mkuu, angalia kila gem ya robo fainal imepewa namba,Angalia hii draft mkuu
Mchoro mpaka fainaliView attachment 1050279
Sent using Jamii Forums mobile app