Klabu ya Simba yapangiwa TP Mazembe kwenye robo fainali Ligi ya Mabingwa Africa

Klabu ya Simba yapangiwa TP Mazembe kwenye robo fainali Ligi ya Mabingwa Africa

Mkuu hizi mechi za kiafrica Zina majungu Sana
Hawa tp mazembe hapa Dar tunaweza hata kumpiga 3 kwa 1
Ila kule Congo
Tunaweza pigwa hata 5 bill Tena
Kwenye makundi mazembe alishinda 8 bila na club African ya Tunisia ila kule Tunisia akadroo ya bila bila

Sent using Jamii Forums mobile app
Simba hawezi mfunga TP Mazembe goli 3

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siyo Semi Final Mshindi kati ya Simba na Mazembe QF4 anacheza na mshindi kati ya Constatine na Esperance QF1
Angalia hii draft mkuu
Mchoro mpaka fainali
D2H0s_2X4AABLcl.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom