Klabu ya Simba yapangiwa TP Mazembe kwenye robo fainali Ligi ya Mabingwa Africa

Mkuu umeandika meengi ila siyo rahisi kama ulivyoandika hiyo makala, to kufungwa na vita siyo sababu ya Simba kuifunga kisa SImba aliifunga team ya vita aliyeifunga mazembe,Kila hatua ina plan yake na sababu zako haiwezi kuifanya Tp kuwa weak
 
Nahatimae vyura wamepata nguvu ngingine mpy baada ya kusikia Myama yuko na TP mazembe
 
Wakuu kanuni za mpira zinasemaje? Ivi haiwezekani soo baada ya kipyenga cha kuanza kupulizwa wachezaji wote 11 wakajipanga golini?[emoji13] [emoji13] [emoji13]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona Wazee wa +255 mnajifarijj

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…