Klabu ya Simba yapangiwa TP Mazembe kwenye robo fainali Ligi ya Mabingwa Africa

Klabu ya Simba yapangiwa TP Mazembe kwenye robo fainali Ligi ya Mabingwa Africa

TP Mazembe ya sasa sio kama ya miaka minne iliyopita ya Samata. Hao Club Africaine walijichanganya wenyewe wakapigwa 8 pale Lubumbashi. Ukweli ni kwamba Mazembe haina tena wachezaji wa kuweza kuwafunga waarabu nyumbani na ugenini. Sasa hivi wanawategemea Kamboure na Mputu (34). Huyu Mputu alimkimbia Samata na kwenda Angola, amerejea baada ya Samata kuondoka, lakini sio yule wa kiwango cha mwaka 2011 wakati Mazembe walipokuja Tanzania. Mazembe ya sasa hata ubingwa wa Congo imevuliwa na AS Vita, na kwa taarifa yako mwezi uliopita tu imechezea kichapo 3-0 kwa AS Vita katika ligi kuu ya Congo. Hata katika play offs kombe la mabingwa waliitoa kwa taabu ZESCO ya Lwandamina, kule Lubumbashi Mazembe walishinda 1-0, na Zambia wakatoka sare 1-1. Hii ZESCO kombe la shirikisho ikapangwa kundi moja na Nkana (ambayo ilitolewa na Simba) na imekuwa ya mwisho, wakati Nkana ipo robo fainali.
Simba wakikaza wanaweza itoa Mazembe
Mkuu umeandika meengi ila siyo rahisi kama ulivyoandika hiyo makala, to kufungwa na vita siyo sababu ya Simba kuifunga kisa SImba aliifunga team ya vita aliyeifunga mazembe,Kila hatua ina plan yake na sababu zako haiwezi kuifanya Tp kuwa weak
 
Nahatimae vyura wamepata nguvu ngingine mpy baada ya kusikia Myama yuko na TP mazembe
 
Kwanza hakuna kati yenu aliyeamini kuwa Simba angesonga mbele kwa kumtoa Vita, jiandaeni kisaikologia kuiona Simba ikicheza fainali. Wenye wivu watapata taabu sana mwaka huu!!!!! Hamjajifunza tu? Unaomba nyumba ya mwenzako ichomwe moto inatangulia ya kwako kuchomwa moto!!! Kandambili bwana!!!!!!!
Naona Wazee wa +255 mnajifarijj

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom