Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Nyie zile kafara za kuua watu ndio maombi?Wakongo hawana chochote zaidi ya kutegemea uchawi, dawa yao ni maombi tu halafu hayo mapepo yao yataingia mitini!!!!
Narekebisha,Mikia imefungwa Goals 13 kwenye makundi.Mkuu umesema Mazembe wanafungika nyumbani?
Hatua ya makundi mechi za nyumbani
Mazembe 2 ismaily 0
Mazembe 8 clab African 0
Mazembe 3 Constantine 0
Kifupi hawajaruhusu goli nyumbani na ndo timu ilifunga magoli mengi 13 mechi hatua ya makundi.
Simba ndo timu ilifungwa magoli mengi hatua ya makundi goli 12
Simba kufuzu inaitajika massive improvement kwenye defense hasa mechi za ugenini na kufunga goli za kutosha nyumbani hatua hii ushindi was 1-0 au 2-1 hauna tija tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya bana. Muda utasema Mtani japo si rahisi.Hata kwa goli la ugenini au kwa penati Mtani.
Muhimu sisi tumeshavuka.
Sasa kama ni hapo nani alikuwa na nyingi?Ni kazi ndogo tumejipanga, 2011 tulicheza na game 2 tuliwafunga 4 wao 6
Sasa nashangaa Mtani Congo mlifungwa 5 hapa mkafunga 2 - 1 chukulia ingekuwa Mtoano mngemuweza As Vita?Tp mazembe ni underdog kwa as vita kwenye ligi huwa Mara nyingi anampiga nje ndani kama vita alikaa kwa mkapa mazembe ndo nani mtani, tujipongeze simba kwa kufuzu nusu fainali send off ilifanyika kwa as vita harusi kamili itafanyika kwa mazembe
Kiwango cha miaka ile tume improveSasa kama ni hapo nani alikuwa na nyingi?
Hahahaaa. Haya bana Mtani ila niseme labda mufunge goals zaidi ya 4 hapo ndio mwaeza pita ila kamoja, viwili itakuwa sawa na bure tu.Kiwango cha miaka ile tume improve
Izo point znapatkanaje? Mpira ni akili tu! Cha muhimu faidaSasa nashangaa Mtani Congo mlifungwa 5 hapa mkafunga 2 - 1 chukulia ingekuwa Mtoano mngemuweza As Vita?
Ingekuwa aggregate ya 6 - 2 sasa kwa nini muone mumemuweza As Vita wakati ni Point tu zimewabeba.
Mh jamaniMnaanzaje sasa Mtani. Labda mumfunge 5 kwa Mkapa. [emoji3][emoji3][emoji3]
Haya bana. Muda utasema Mtani japo si rahisi.
Huu Mwaka Wa Mabadiliko TanzaniaKikubwa tujazane kwa Mkapa kuwashangilia Stars huenda tukapata matokeo
Mechi za kuamua nani asonge mtani ni ngumu sana na si rahisi kwa timu zote mbili maana huwa zinachezwa kama fainali, naamini hatutakuwa wepesi away kama tulivyokuwa makundi, hahaha hivi mtani draw za makundi zilivyipangwa ulitegemea kama tungetoboa kweli.Sasa nashangaa Mtani Congo mlifungwa 5 hapa mkafunga 2 - 1 chukulia ingekuwa Mtoano mngemuweza As Vita?
Ingekuwa aggregate ya 6 - 2 sasa kwa nini muone mumemuweza As Vita wakati ni Point tu zimewabeba.
Hhh ngoja ncheke tu,to mazembe afungwe na simba, team inaendeshwa kisomi ile kuanzia academy mpaka wakubwa ile,tusubiriniMechi ya Kwanza
Simba 2 mazembe 1
Mechi ya 2 kule Congo
Mazembe 4 Simba 0
Sent using Jamii Forums mobile app
Point?Toba anaanzia nyumbani,Ila yote kwa yote Point tatu lazima aziache nyumbani hapa
Ni heri hawa wazembe kuliko wale Waarabu wa fitina... Nusu fainali tumo hakika nawaambieni atakaebisha mchawiSimba imepangwa na TP Mazembe ya DR Congo kwenye mechi ya robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika kwenye droo iliyochezeshwa mjini Cairo
View attachment 1050159
Mamelodi Sundowns wakikutana na Al Ahly, Horoya AC vs Wydad AC na Esperance vs Constantine
Simba itaanzia nyumbani kutokana mfumo wa michuano hiyo kwa kuwa walimaliza wakiwa nafasi ya pili katika Kundi D.
View attachment 1050158
Simba ilimaliza kundi D katika nafasi ya pili na ikajulikana mapema Kuwa ina nafasi ya kukutana na kati ya timu tatu zilizokuwa vinara wa makundi ambazo ni Waydad Casablanca, TP Mazembe au mabingwa watetezi, Esperance.
=====
Droo ndio hiyo wenzangu wa Simba nafasi yetu ipoje?