Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Sikutegemea kabisa. Yabidi maajabu yatokee ndio msonge mbele sababu kufunga goli nyingi kwa Mkapa kwenu ni ndoto na kuzuia kufungwa nyingi ugenini ndio ndoto zaidi.Mechi za kuamua nani asonge mtani ni ngumu sana na si rahisi kwa timu zote mbili maana huwa zinachezwa kama fainali, naamini hatutakuwa wepesi away kama tulivyokuwa makundi, hahaha hivi mtani draw za makundi zilivyipangwa ulitegemea kama tungetoboa kweli.
Ila huenda.